Swali la Kizushi-Kujitetea mahakamani ndio hivi?

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Jul 10, 2011
4,179
6,238
Wakati fulani nilisikia eti hakimu akisema jitetee, unaweza kutoka nduki(kukimbia) na wakikukimbiza wakakukosa ndio inakuwa mwisho wa kesi yako, JE INA UKWELI???
 
Jamaa alikuwa anahukumiwa akaambiwa na hakimu, hapo hapo ulipo nimekuhukumu miezi sita. Jamaa akarukia sehemu nyingine akamwambia hakimu na hapa
 
napita tu like nikuadd mana kwenye kahawa siku hizi wazee wamekuwa invisible kwa ubishi na kamba zao za mwaka 47
 
Wakati fulani nilisikia eti hakimu akisema jitetee, unaweza kutoka nduki(kukimbia) na wakikukimbiza wakakukosa ndio inakuwa mwisho wa kesi yako, JE INA UKWELI???

Mkuu, hayo maneno ya kijiweni na kwenye gahawa, usijaribu itakula kwako.
 
Back
Top Bottom