Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi?
Nyongeza:
Na pia kwanini sisi tunasema saa saba(7) wao saa moja(1)?