Swali la kipima joto iTV

Swali la kipima joto iTV

mgosi9

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,581
Reaction score
261
Kwa mara ya kwanza ITV hawajatoa majibu ya swali la kipima joto sijui kwa nini?
 
hahahahaa... Bila shaka LOWASA aliangukia pua
 
Ni Kweli.Bila Shaka Kuna Maagizo Toka Juu.Lazima Takwimu Ziliegemea Upande Unaodhalilisha CCM.WanakimbiaKivuli.Aibu!
 
Upepo ubadilike mara mbili.....hali ni tete si kawaidaaa wabunge wenyewe wamepanick tayar......Ndugai analielewa zaid hilooo
 
Takwimu zilikuwa karibia 96% Lowassa ataleta mabadiliko makubwa kupitia vyama vya upinzani... hii ni aibu kubwa kwa CCM.... wakaacha kutoa figures...

Ukawaaaaaa....Lowassaaaaaa...👏👏👏👏
 
Takwimu zilikuwa karibia 96% Lowassa ataleta mabadiliko makubwa kupitia vyama vya upinzani... hii ni aibu kubwa kwa CCM.... wakaacha kutoa figures...

Ukawaaaaaa....Lowassaaaaaa...
Hienda ikawa hivyo. Ila wameniangusha nilikuwa nasubiria kwa hamu
 
Back
Top Bottom