Uteuzi ukifanywa na Rais (sio mwenyekiti wa ccm) hakuna mpinzani anayepaswa kupinga haswa kama nafasi hiyo inawagusa watananzania wote bila kujali chama....
Ni vizuri kuamini kwamba kila mtu ana njaa na anafanya siasa ili apate riziki. Kama unaishi Afrika, utaachaje kuamini hivyo? Lakini katika hao, wapo watu ambao wako serious na kile wanachokifanya. Hata anayeteua anajua kabisa hawezi kujaribu kuwarubuni watu fulani kwa teuzi.. anawajua, hakuna hata sababu ya kutaja majina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.