[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanin mkuu??Huwa unahusika katika kutunga maswali ya kipima joto?
Sasa ishu ni kwa masister duu wa kibongo,, love pretenders,,, na swala sio video mkuu,,,
Yaan nahisi hapo kizaazaa ndo kinapo anzia hapo sasa, watu wanachotea na kusukumwa ndani[emoji41][emoji41]
Achana na mods wewe jib swali
Rudisha ile avatar ya mwanzo
ipi hiyo ya mkono
Umekaa kwny kiti
ooh ile niliona ni rahisi kujulikana nikabadili.