Swali kwenu mafundi umeme

Ndio maana nikauliza naweza mwita fundi nae akawa kama mimi
 
Mimi pia naomba kujua kuhusu hili kwani ile switch ya fan inachobadili ni voltage au ampere?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo chacha
Mimi pia naomba kujua kuhusu hili kwani ile switch ya fan inachobadili ni voltage au ampere?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu rejea katika kanuni ya ohms law,ukweli ni kwamba chochote utakacho kibadili kitapelekea mabadiliko kwa kingine,hivyo haijarishi regulator inaathiri volt au ampere,matokeo ya tendo yatakua tofauti.

Voltage =current /resistance
Hivyo ukibadili voltage resistance na current vitabadilika
 
Kwa nijuavyo mimi Energy Server ina circuit yake ambayo ishapimiwa umeme wake utakao enda kwenye Bulb na input yake inakuwa umeme wa volt 220 hadi 240 so Umeme unaotoka kwenye regurator ya feni ni huo huo 220 hadi 240 so kama endapo utapima out put kwenye regulator na ukawa ukapungua chini ya volt 220 basi bulb yako haitowaka na endapo regulator yako itatoa out put ya umeme kuanzia 220 kwenda 240 Bulb yako itaendelea kuwaka kwa kiwango kile kile hata ukichange namba yeyote kwa uwezo wa energy server ilivyotengenezwa... Regulator itakuwa ni bosheni tu....

Ila kama utapata energy server bulb isiyo na circuit yaani direct kama zile za Solar power nyingi ni LED basi utapata changes unazozitaka wewe kuongezeka kwa mwanga na kupungua kama feni inavyofanya kazi...
 
Sijasahau boss.
Swali langu lipo pale pale
Flactuation inatokea katika
nini?
Source of power supply au
regulator?
Ni source and specifically umeme huu wa TANESCO ni balaa kwenye baadhi ya maeneo
 
Mwanga utapungua na kuongezeka kulingana na unavyozungusha ile regulator mi nilishawahi kufunga taa ya bulb na feni kwa kutumia switch 1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa ila taa itawaka au itapungua mwanga
 
Hapo kwenye volt kwa hapa tz volt tunazotumia ni 220 hadi 240 tena ikifika hapo 240 ni hatari ya chombo kuungua hivyo hata regulator kuongeza speed haiongezi volt kuongezeka na karent zinazoingia kwenye fani ni hizo hizo zinazoingia kwenye balbu.
Kuhusu kuwasha taa kwa kuongeza speed kwenge regulator ndio nauliza hapo sijajua
 
Sawa ila taa itawaka au itapungua mwanga
Theoritically ndiyo taa itapungua na kuongezeka mwanga kutegemeana na namba za hiyo regulator hasa ukitumia bulb za filament.

Practically ndo tunasubiri wewe ujaribu harafu utuletee majibu hapa....hahaaa
 
Mimi pia naomba kujua kuhusu hili kwani ile switch ya fan inachobadili ni voltage au ampere?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinachofanyika una control kiasi cha power kinachofika kwenye feni.

Power = voltage x current

Power (watts)
Voltage (volts)
Current (Ampere)

Njia inayotumika ni voltage control


Voltage control means unachenji one Electrical parameter, voltage, then vingine vitajichenji hukohuko proportionally.

Why voltage control? For speed control of Electrical machine, voltage is the easiest, inexpensive and efficient way to control the speed.


Now, several voltage control methods here.

Mostly used
1. Resistive-potential divider method
Turn regulator dial, changes resistance, allows less or more current inayo flow kwenye motor hence causing voltage drop hence affecting power delivered.

2. Capacitive-potential divider method
turning regulator dial, increases or decreases the effective reactance, current rigged here, hence causing voltage drop, hence affecting the power delivered to the motor.

The now technology,

There's PWM control, hii hutumia PWM signal ku vary firing angles za diac/triac au thyristors ku control power inayofika kwenye load. Hizi ni electronic regulators.

Which is best? The one with good efficiency, reliability and expensiveness

Power loss, heating, damages etc hufanya ipi bora Kwa nyingine.

etc
etc
 
Nimeshakujibu Soma point kwa point swali lako lipo kwenye energy server kuongezeka mwangaza ni kuwa haitoongezeka sababu energy server ina limit ya inputs volts na outputs volts. Ila ukitumia aina Fulani ya bulbs zoezi lako litawezekana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…