Itategemea uwezo wa bulb (watts) na umeme unaokwenda... ukiwa zaidi itaungua (voltage) na ukiwa mdogo itawaka kidogo kwa maana ya kiasi cha mwanga... na ikiwa kidogo zaidi ya minimum capacity haitawaka....ie not fixed value but a rangeYaani unataka mwanga wa bulb nao uongezeka kama vile feni inavyoongeza speed ya rotation baada ya kuongeza speed namba 1...2...3...4...5? Mwanga wa Bulb unategemea Watts ya bulbu yenyewe kama alivyojibu mkuu Kamwene kamwene
Umeme unazidi kivipi mkuu ukifunga regulator?Itategemea uwezo wa bulb (watts) na umeme unaokwenda... ukiwa zaidi itaungua (voltage) na ukiwa mdogo itawaka kidogo kwa maana ya kiasi cha mwanga... na ikiwa kidogo zaidi ya minimum capacity haitawaka....ie not fixed value but a range
Kuna over voltage due to fluctuations...Umeme unazidi kivipi mkuu ukifunga regulator?
Hapo umeme hautazidi ila utakuwa sawa au chini ya kiasi cha supply
Kuna over voltage due to fluctuations...
Flactuation inatokea katika nini?Kuna over voltage due to fluctuations...
Usiasahau regulator ya speed ya fan siyo voltage steblizerUmeme unazidi kivipi mkuu ukifunga regulator?
Hapo umeme hautazidi ila utakuwa sawa au chini ya kiasi cha supply
Ok,
Kuna switch zamani zilikuwa zinaitwa Dimmer switch. kwa incandescent lamps, ukiipa umeme mdogo kuliko utakiwao kwake, itawaka kwa mwanga mdogo sana ... na ukishusha zaidi itawaka kidogo zaidi kuelekea kutowaka kabisa.
Sasa kwa energy server, ukiipa umeme mdogo itawaka kidogo ingawa ina kiwango kidogo sana cha kuvumilia umeme mdogo ukiilinganisha na incandescent lamp. Hivyo kujibu swali lako, inapunguza mwanga kutegemeana na posirion ya switch. Ila kama umeme utaenda chini ya uwezo wake wa kuwaka, haitawaka...
Yaani unataka mwanga wa bulb nao uongezeka kama vile feni inavyoongeza speed ya rotation baada ya kuongeza speed namba 1...2...3...4...5? Mwanga wa Bulb unategemea Watts ya bulbu yenyewe kama alivyojibu mkuu Kamwene kamwene
Theoretically jibu ni ndiyo hasa kama regulator inatumia resistor,na ukafunga taa ya element bulb au na siyo energy saver,pia jibu itakuwa hapana kama regulator inatumia capacitor.
All in all practical ndiyo hutoa majibu ya kweli,kajaribu ila kuwa mwangalifu,kumbuka umeme unasafiri kwa speed ya mwanga,hivyo kama kuna kosa huwez zaia ni PAAAAAH!!
Kwenye ile switch ya fen Kuna resistors za value tofauti, Anyways tutolee mfano kunabomba kubwa la maji.
Halafu kunapipe zenye kipenyo tofaut tofaut zinachukua maji kwenye bomba Hilo
Hope kiwango Cha maji kitakachotoka kwenye pipe hzo sio sawa ikilinganishwa na kipenyo chake
The same
Sawa na Kua na resistors za 10 ohms....na 10k..na 47k na 100k zote hizi zikiunga kwenye njia moja ya umeme output zake haziwez kua sawa. Maana yake currents zinazotoka kwenye 10ohm so sawa na itakayotoka kwenye 100k.
Hivyo inawezekana taa ikawaka mianga tofauti ikilingana na uliposelect as a fan speed.
kelphin kepph