Kapepa Maswanya
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 265
- 107
Naomba kuuliza kwanini Mh tajwa amesakamwa sana baada ya kuanzisha vita dhidi ya dawa za kulevya!
Kwanini hoja hizo zote zinazotajwa hazikusemwa kabla ya vita hivi!! Ina maana ni kosa kubwa sana kwake kupigana dhidi ya dawa ya kulevya!!
Ni kiwango gani cha elimu kinahitajika kutumika kupinga dawa za kulevya!!!watanzania ifike wakati tutumie akili na kubaini mambo ya msingi.