LARRYHOVER
Member
- May 9, 2011
- 29
- 1
Rejea swali la mwandishi wa kwanza;Umetumwa nini wewe na hao TTCL kuwatangazia biashara yao! Lete habari muhimu sio hayo matangazo ya biashara.
TTCL - Unlimited ya mwezi inaanzia 40,000 kwa mwezi unapata (spidi) 256KBps-shared mpaka 200,000 kwa mwezi unapata (spidi) 2MBps-shared.
Natumaini neno "shared" unalielewa vizuri kabisa hasa hasa ukizungumzia hawa ma ISP wetu.
Other option ni ile promo ya Banjuka, Shs 1,000 saa 12 asubuhi - 12 jioni, Shs 800 12 jioni - 3 usiku, na Shs 500 saa 3 -12 asubuhi.
Ni Unlimited download/upload, speed iko safi especially TTCL wakiwa hawana tatizo la mkonga kama la last 3 weeks, inafika mpaka 2MBps.
Kazi ni kwako.
MIMI NIPO UNLIMITED 1MBps nalipa 110,000 download speed ni 30kbps hata kama uamke saa nane za usiku haifiki 40 natafuta dsl provider mwingine mwenye speed kubwa
<br />Ok , ninategemea budget na matumizi yako , kama una matumizi makubwa na unangalia vidoes online, chukua TTCL Banjuka, hiyo ndio jibu ya mataizo yako speed nziri sana, mim nimezunguka kote nimeishia Banjuka , jaribu hiyo utaipenda.
ata mimi ninalipia 110000 wanasema 1mbps wakati speed yao inaenda 40kb/s mwisho pumbavu wizi wakubwa!!! Ttcl matapeli waongo kabisa yani connection ya dsl nzuri sijui nitapatia wapi?
ata mimi ninalipia 110000 wanasema 1mbps wakati speed yao inaenda 40kb/s mwisho pumbavu wizi wakubwa!!! Ttcl matapeli waongo kabisa yani connection ya dsl nzuri sijui nitapatia wapi?