Hivi mbona kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na kashfa kwa Rais ambae tulimchagua wenyewe? Akifanya uteuzi wa mawaziri, utasikia kachemka, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa nk. yote kachemka. Ziara zote nje ya nchi nazo mnasema hazina manufaa kwa nchi, akicheka, Rais gani anachekacheka. Aliowateua wakifanya ubadhilifu tu, Rais gani yuko kimya.
Ina maana hatukuwa makini katika maamuzi? Na je, mmejipangaje awamu hii? Nawasilisha kwenu tafadhali.
Hata sokoni unaweza ukachagua nazi kwa kudhani ni nzuri kumbe ni koroma na unagundua hilo ukiwa tayari umeshafanya malipo...
Hivi mbona kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na kashfa kwa Rais ambae tulimchagua wenyewe? Akifanya uteuzi wa mawaziri, utasikia kachemka, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa nk. yote kachemka. Ziara zote nje ya nchi nazo mnasema hazina manufaa kwa nchi, akicheka, Rais gani anachekacheka.
Aliowateua wakifanya ubadhilifu tu, Rais gani yuko kimya. Ina maana hatukuwa makini katika maamuzi? Na je, mmejipangaje awamu hii? Nawasilisha kwenu tafadhali.
We Niaje? Sema Ulimchagua wewe.....sikumpigia kura yangu huyu raisi...
So utafanyaje???
Unaitupa huku ukusubiria siku ukipata vijisenti unaenda kununua nazi nyingine...
mtupe basi na huyu raisi maana ni kama ulivyosema!