Swali kwa watalamu wa Google Map

Mrimi

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
1,691
Reaction score
641
Jamani najua kuuliza ni ujinga ndio maana nahitaji kueleweshwa ili niondokane na ujinga! Mimi ni mpenzi sana wa google map,ila kuna kitu kinanichanganya sana.Kwamba je,ni nani anawapa hawa jamaa data za mahali fulani.Kwa mfano,kwa kuanzia tafuta kijiji ulichozaliwa au ulichoambiwa baba/mama yako ametokea,mara moja utakipata tena kwa jina lake sahihi!

Nijuavyo mimi,satelite wanayotumia inaweza kulocate point lakini jina la ile point ni lazima aither lipo imelisoma au apatikane mtu wa kuipatia jina la hiyo point.Sasa iweje kwenye google map hata majina ya kilugha kabisa ya mitaa/vijiji vyetu yapo na hayajakosewa wakati sisi wenyewe(wakazi) tukiambiwa tuyaandike tunakosea?
 

Google wanatoa data sehemu nyingi, kwanza official maps zenyewe za nchi na zinazotengenezwa na serikali, pili wao wenyewe wanakusanya data on the ground directly au kwa kutumia makampuni mengine na mwisho mtu yoyote unaweza kucontribute kwenye maps za Google https://www.google.com/mapmaker.
 
data kubwa za google mpaka 2008 zilichangiwa na navteq. Hawa navteq wanatembea dunia nzima na gari zao kuchukua data na ndio data zao zina accuracy kubwa.



source nyingine hizi hapa

Sources of information
-web search results
-Data submitted directly by local business owners
-User submitted photographic content
-Street View imagery
-Third-party sources (e.g. the Yellow Pages)
 
Au wewe mtumiaji unaweza kuiongeza ile point. kuna sehem unaleta a pin, unaiweka sehem, na unapawekea jina
 
Mhh!mpaka leo niki google manzese tena pale nafikri itakuwa maeneo ya skuli ya mabibo enzi hizo kulikuwa na zizi la ngombe sijui kama bado lipo inasema "lake manzese" miaka kama thelathini nyuma kulikuwa na dimbwi lililosababishwa na wachimba mchanga nachokaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…