Jitindejangongwa
Member
- Jan 17, 2013
- 28
- 3
Mie kwangu siku zote mwanamke ndiye mwenye makosa,
Mwanaume huwa akosei teh teh teh teh .......
Na akikosea rejea sentensi ya kwanza...
Mmmh kazi kweli kweli. Cha msingi hapo kila mmoja anauchuna tu mnafanya kama hamjuani vile
Ooh kumbe hapo uta-apply mfumo dume eeh kulikoni kumchapa mkeo ilihali hapo mmetoka ngoma droo.Haiwezekani, wakati mimi nime-plan kumvalia condom malaya niliyemchukua, nitajuaje labda njemba litamchapa kavukavu mke-wangu. Hapo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kumchapa mke wangu na condom hadi kwenda kupima, na vilevile inaweza ikawa mwisho wa ndoa.
Mmmh kazi kweli kweli. Cha msingi hapo kila mmoja anauchuna tu mnafanya kama hamjuani vile
Hahahahahahahaha ndo manake wanaendelea na shughuli zao kama kawa yaani kama hawakuonana vile. Wakifika home hasa atakaetangulia ndio aanze kumuuliza mwenzake anatoka wapi na mbona hakuaga.Mhhhh! kwa hiyo mnaendelea na shughuli zenu kama kawa!? :noidea::noidea::noidea:
Hahahahahahahaha yaani dada mdogo umenichekesha hadi basi lol. Maujanja hayo utayapata wapi ilihali umekamtwa ndio mnaingia chumbani mwee. Halafu wakati huo hukutegemea kama utamkuta hapo mkuu wa kaya.Mi nikimuona nitamwambia ''afadhali mume wangu nimekuona yaani nilikuja huku na huyu kijana kuja kukutegeshea tu, kama kweli yale maneno ya watu kuwa unanicheat hivi ni kweli? Na sasa nimejionea,,,,,, mume mbaya sana wewe!!!!!!!'' then namuaga hawara wangu ki-umbea umbea.... ''haya kaka asante nashukuru sana kwa msaada wako msalimie shoga angu Ablessed'' yule hawara akisepa namvuta demu wa mume wangu namtia makwenzi!!!!!!!!! Then namshika mume wangu mkono kwa hasira fake huku natoa lawama juu yake haoooooo hadi home!!!!!!
Hee! Mi namuuliza tu "...condom unazo?..." kama hana nampa nusu na mimi nabaki na nusu!
Then Mjadala nyumbani! Weee akileta ubishi makofi! Afu anijibu ni dini gani inaruhusu ume wenza!
Kwa vile kuna uke wenza ndio natest ivyo, jee ntawaweza wawili or watatu! Sio nikurupuke tu kujiolea!
Ujue kondomu zinakuwa 3 tu kwenye kipakti! Hapo mnagawanaje yaani? Bora kila mtu akafuate utaratibu wake.