Swali kwa wanawake !

hzo ni kati ya sababu zangu maalum ambazo naweza kumruhusu ajichue......kulingana na swali lako umetupa tuchague kati ya hizo mbili tu.....na kwangu nachagua ya kujichua......

Vipi kuhusu madhara ya kujichua?
Au kwako sio tatizo?
 

Na kama kuna dharula tu ya kuwa mbali au ugonjwa?
 
eg.mm nimekuwa nkjichua tokea form 2..kiuhalisia siwez acha labd mpaka miak buku ijayo..siku unanifumania jf utakacrika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…