Swali kwa wanawake.

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,561
Reaction score
48,909
Kwa mfano Yona yule aliyemezwa na Samaki na kukaa tumboni mwake siku tatu angekuwa mumeo ungemuamini??

Kwamba kapotea nyumbani kwa siku tatu simu zinaita tu na hazipokelewi,

Sms za kawaida zinaonekana kuwa delivered,

Zile za watsapp nazo kale katick ka blue kapo kwamba sms zimesomwa

Lakini hajibu wala kupokea simu,

Halafu baada ya siku tatu anakuja kukuambia eti alikuwa ndani ya tumbo la samaki kwa siku tatu,

Ungemuamini?? Au ungechukua hatua gani??
 
Mm kama mume nnge-selfie kwa tumbo la samaki kama ushahidi
 
😂 hit and run 🏃

Principle

Cjamtaja mtu msinijazie povu, mawenge yote usingekuwa nayo
 
A Akili za kilumumba lumumba hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…