unachelewa sana kujistua wewe. utakuja kuchelewa kwa mola, shauri yako
Kwanini nisiwe navyo?
nataka kuhakikisha...
Kuna harusi nataka mpambaji..
Hilo tu ondoa shaka sema uko wapi na unapatikana wapi
nije tufanye biashara au huna lingine?
mbona wasiwasi hivyo bi'mdogo??
??!!...............😕😕......................:A S 13:
Mcha Mungu, aliyelelewa kwenye familia yenye maadili bora, msomi, mchapa kazi, mwerevu, mwenye haiba nzuri bila kusahau urefu!
Mmmmmh! Huyo muumbe mwenyewe
Awe mkweli mwaminifu na mwenye kujielewa, anajali pande zote mtafutaji wa kweli hayo mengine ni ziada. Kama yupo aje haaaaa
Mcha Mungu, aliyelelewa kwenye familia yenye maadili bora, msomi, mchapa kazi, mwerevu, mwenye haiba nzuri bila kusahau urefu!
Hahaaaaaa kwani we mwenzangu una gundu kiasi cha kuamini wa hivi hawapo? Mi naamini wapo na nimekutana nao!
Ukimuomba Mungu atakupa tu! Lisilowezekana kwa wanadamu kwa Mungu ni jambo jepesi sana!