Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Apr 5, 2018 #1 habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha.
habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha.
balibabambonahi JF-Expert Member Joined Apr 5, 2015 Posts 16,868 Reaction score 15,735 Apr 5, 2018 #2 Tata baba,ila hata India Wana tata
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 10,491 Reaction score 20,064 Apr 5, 2018 #3 Pin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia
totolito JF-Expert Member Joined Mar 16, 2016 Posts 708 Reaction score 431 Apr 5, 2018 #4 Mgeni wa Jiji said: Pin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia Click to expand... Uko sahihi x kila kabila wanalia hivyo nafikiri wanyakyusa mojawapo huwa wanalia hivyo xjui kabila gani ten
Mgeni wa Jiji said: Pin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia Click to expand... Uko sahihi x kila kabila wanalia hivyo nafikiri wanyakyusa mojawapo huwa wanalia hivyo xjui kabila gani ten
weed JF-Expert Member Joined Sep 26, 2012 Posts 2,457 Reaction score 3,592 Apr 5, 2018 #5 πππ
Blueprint 9 JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 807 Reaction score 1,402 Apr 5, 2018 #6 morgan fisherman said: habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha. Click to expand... Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba" Ila kwa wanaume wanalia "etata etata" Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali"
morgan fisherman said: habarini wanajamvi na swali moja huwa sielewi hasa kwenye misiba unakuta wadada na wamama wakilia wanaweka neno " eee tata" hivi huwa lina maana gani? nawasilisha. Click to expand... Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba" Ila kwa wanaume wanalia "etata etata" Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali"
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Apr 5, 2018 Thread starter #7 balibabambonahi said: Tata baba,ila hata India Wana tata Click to expand... [emoji23]
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Apr 5, 2018 Thread starter #8 Mgeni wa Jiji said: Pin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia Click to expand... wengi hasa dsm na nyanda za juu kusin
Mgeni wa Jiji said: Pin na mkoa mkuu maana huku nilipo sijawahi wasikia Click to expand... wengi hasa dsm na nyanda za juu kusin
Morgan Fisherman JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,024 Reaction score 2,455 Apr 5, 2018 Thread starter #9 Blueprint 9 said: Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba" Ila kwa wanaume wanalia "etata etata" Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali" Click to expand... magendaa hyo mpya cjawah ickia
Blueprint 9 said: Kwa wanyakyusa wanawake waakilia wanaweka "ejoba ejoba" Ila kwa wanaume wanalia "etata etata" Pia kwa wakurya wao wanalia "magenda ndali magenda ndali" Click to expand... magendaa hyo mpya cjawah ickia
Maserati JF-Expert Member Joined Jun 15, 2014 Posts 11,602 Reaction score 20,101 Apr 5, 2018 #10 Sijawahi sikia