Swali kwa wanaume wafupi...

Status
Not open for further replies.
hapo patamu.ila kiukwl vibint vifup ndo utasikia nataka mme mrefu looh.kuwa mfupi mwili ila mrefu mfuko utapata bint tal
 
Blue G. Thanx 4 ur advice na nimependa ushauri wako. Kiukwel cjawadharau but just commenting. Thanks mkuu
 
Nimekosa kabisa cha kuchangia ....
Ngoja niendelee kutafakari!
 
Mch. Mtikila akiiona hii atafungua kesi na kusababisha JF ifungwe bure!.
 
Ze english ze problem, kwanza umetukashfu sisi wafupi, halafu nadhan hapo kwenye rangi urudi class, Grammar bado kabisa, andika viswahili tu.
 
Kwanini mnawanyanyapaa watu wafupi jamani? Maana hata sisi wanaume warefu hatutaki kusikia kabisa habari za wanawake wafupi. Kwani tatizo ni nini hasa?
 
Kwanini mnawanyanyapaa watu wafupi jamani? Maana hata sisi wanaume warefu hatutaki kusikia kabisa habari za wanawake wafupi. Kwani tatizo ni nini hasa?

Yale yale na ww umewanyanyapaa wanawake wafupi!

Ni up u u z i kumtenga mtu wa jinsia yyt ile kutokana na kimo chake!
 

Acha zako wewe,,,,,,,,,,ungekuwa jirani ningekukata makofi kwa kutujumuisha wafupi wote wakati ni tatizo la huyo mmoja.
 
Wanawake hasa vijana ambao hawana hata mchumba ndio wenye kudharau wanaume wafupi kama mleta mada. Ajabu ni kwamba wakifikia kuolewa hata hao mbilikimo hawawapati. Tena wanawaona ndio bonge la mshikaji.

Ewe dada, mwanaume ni mwanaume tuu hata awe vipi? Acha madharau yako humu. Ngoja tuone huyo tall atakayekuoa ni yupi. Kwa heri
 
Umeongea maneno ya busara sana,huwa wanajishaua sana saa sita, ikianza saa tisa wanaanza kuhaha hata hao wafupi hawaonekani.
 
mgumu4real, Mbona umejumlisha watu wote kwenye sampuli moja tu????????????????

Hebu panua wigo wa utafiti wako
 
Last edited by a moderator:
Acha zako wewe,,,,,,,,,,ungekuwa jirani ningekukata makofi kwa kutujumuisha wafupi wote wakati ni tatizo la huyo mmoja.

Ona sasa response ya mfupi! Toa hoja badala ya kurusha ngumi lol! Utafanya tuamini maneno ya mleta thread!
 

Nahisi umekurupuka na stress zako, ukaamua kuandika utumbo wa namnahii. Watchout!!!
 
hapendwi mtu linapendwa pochi, ufupi au urefu hauhusuuu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…