Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,864
Naombeni ushauri kweli ndugu zangu. Natamani mpenzi wangu afurahi sana potelea mbali
Toa ushauri acha chabo mkuu. 😂Na sisi tumo jamani tunapiga chabo.
Saa kama ni mvaaji, perfume kama ni mtumiaji..
Boxer na soksi is vereee out of date.
[emoji1][emoji1][emoji1]Mnh mnh mnh.
Kama ni dereva wa boda apewe boksa na losheni tumechoka kuona tutako tumepauka na boksa zimechanika.
😂😂😂😂😂😂Mnh mnh mnh.
Kama ni dereva wa boda apewe boksa na losheni tumechoka kuona tutako tumepauka na boksa zimechanika.
Mpaka anahangaikiwa hivi sidhani kama ni dereva boda 🤣🤣Mnh mnh mnh.
Kama ni dereva wa boda apewe boksa na losheni tumechoka kuona tutako tumepauka na boksa zimechanika.
Mnunulie dawa za kisukari just in case maana mautamu unayompa muda si mrefu hayatamuacha salama🚶🚶🚶Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Muulize yeye anapenda zawadi gani na atakuambia, au wwe kwa sababu unamjuwa mchagulie kitu anacho penda! Mi ningekushauri umpee mdada wako Wakazi just for a knight, na utaona atakavyofurahia zawadi yake!!Naombeni ushauri kweli ndugu zangu. Natamani mpenzi wangu afurahi sana potelea mbali
Jinga sana wewe 🤣🤣🤣🤣Mpe uno wewe. Ila kampime sukari kwanza.
Acha kuchochea kesi za mauaji. 😂😂Mpe uno wewe. Ila kampime sukari kwanza.
Mnunulie Land Cruiser VX V8 hio ndio gari inayomfaa mwambaZawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Unajua gari anayotumia??Nunua Gari mpe Huyo ni Mzee anahitaji vitu kama Hivyo
Zawadi gani nzuuri ya kumnunulia mpenzi wa kiume
Age 50plus
Nataka niwekeze kwenye mahusiano yangu mwaka huu maisha ni kuenjoy tu
Kha!Mpe uno wewe. Ila kampime sukari kwanza.