Swali Kwa wanaume marijali wote

Hilo tako inaonekana lishashikwa sana mbona jamaa katulia tuu!!
 
Nafikiri inategemea unaishije na mpenzi wako ndani ya nyumba,sometimes inatokea tu mnacheza au kutaniana na mkeo akakushika sehemu yeyote ikiwemo hapo.
Nafikiri kama mko ndani mnacheza michezo yenu kama wapenzi haina shida labda kama akushike kwa makusudi ya kukudharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…