Ni sahihi pete ya ndoa kuvaliwa na mwanandoa mmoja? Je pale unapoona mwenzio havai au anaivua katika mazingira ya kutatanisha nini suluhisho? Michango tafadhali
Binafsi sioni tatizo!! Mume wng cjawaji muona kavua pete yake!!! Njooo kwangu sasa utashangaa ambavyo ninavyozivua hovyo mpaka wakati mwingine nasahau nilipoziweka!!