Swali kwa wana jamiiforum

Swali kwa wana jamiiforum

ngamiandama

Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Ni ipo sim bora kitecnolojia ya kisasa Kati ya IPhone na HTC


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hapo hakuna simu Nokia torch ndo mpango chaji siku 7.bei elfu 45.
 
Wewee..! Duniani hakuna simu inayoizidi iphone. Jambo la msingi isiwe ya kichina
 
Back
Top Bottom