Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,698
- 1,783
Ingia hapo kwenye set up, then badili Jina na passowrd (weka upendavyo wewe, au waweza kuziacha kama zilivyo).
Kwa hiyo zote mbili naziset hivyo?Ingia hapo kwenye set up, then badili Jina na passowrd (weka upendavyo wewe, au waweza kuziacha kama zilivyo).
Kisha rudi nyuma, bofya hapo kwenye portable hotspot ili pawe on..
Then, your good to go..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kilaza anafundishika bossVilaza bana.. Hili nalo linataka IT [emoji3][emoji3]
Final solution: Nenda youtube Mkuu.. search how to use hotspot to connect two mobile..
Hili swali la IT tu !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni FALASI eti IT swali kama hiliAsanteni kwa wote walioniwezesha kunielekeza nimeelewa.Pia wale walionibeza pia nawashukuru kwa challenge zao kwani bila wao nisingeongeza bidii kuelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app