sirluta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2012
- 6,324
- 2,494
Hebu fikiria, katika wanawake /wanaume wote uliotembea nao kabla ama baada ya kuoa/kuolewa.
Ingetokea siku moja, wakati mmoja wakaja mbele yako ukiwa na mwenza wako kukushtaki kwake, unadhani ni yupi atakutia aibu sana kiasi kwamba ungejua b4 ungetumia gharama yeyote asije?
Pili; kama wewe ni mwanaume umeoa mwanamke unaemwamini sana, ukastaajabu hiyo siku, wale wapenzi wa mwanamke idadi yake ni zaidi ya mara kumi ya wale wa kwako, imani yako kwake itaendelea kuwepo?
Naleta chalenji hii kwasababu wapo wanaosema mapenzi hayachagui, na ndo hapo unakuta mtu mzima na busara zake anatembea na msichana ambae hawezi hata kuongozana nae au mmama wa heshima lakini anatembea na mwanaume wa ajabu kabisa kwa kuwa mapenz ni siri, hata vichaa wenye watoto unakuta wamezalishwa na watu wenye heshima zao.