S Smarty JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 775 Reaction score 437 Jun 23, 2011 #1 hivi ni kweli baadhi wanaume waliooa wanavaa kufuli za wake zao??? Na akina dada nao wanajisevia boxa za waume zao?? Nauliza tu jamani??
hivi ni kweli baadhi wanaume waliooa wanavaa kufuli za wake zao??? Na akina dada nao wanajisevia boxa za waume zao?? Nauliza tu jamani??
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Jun 23, 2011 #2 Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!!
Eiyer JF-Expert Member Joined Apr 17, 2011 Posts 28,259 Reaction score 20,920 Jun 23, 2011 #3 Lizzy said: Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!! Click to expand... Shangazi majibu yako!Duh!
Lizzy said: Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!! Click to expand... Shangazi majibu yako!Duh!
S Smarty JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 775 Reaction score 437 Jun 23, 2011 Thread starter #4 Lizzy said: Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!! Click to expand... Nashkuru kwa taarifa lizzy.
Lizzy said: Siri za ndoani unazitakia nini???!Oa/olewa na wewe ukajionee mwenyewe!! Click to expand... Nashkuru kwa taarifa lizzy.
Dr Lizzy Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 31,010 Reaction score 60,484 Jun 23, 2011 #5 Eiyer said: Shangazi majibu yako!Duh! Click to expand... Vitu vingine inabidi upate experience yako mwenyewe na sio kuishi na maneno ya kuambiwa!
Eiyer said: Shangazi majibu yako!Duh! Click to expand... Vitu vingine inabidi upate experience yako mwenyewe na sio kuishi na maneno ya kuambiwa!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,082 Reaction score 2,358 Jun 23, 2011 #6 Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan?
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Jun 23, 2011 #7 Senetor said: Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan? Click to expand... Afadhali umenisemea mkuu
Senetor said: Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan? Click to expand... Afadhali umenisemea mkuu
S Smarty JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 775 Reaction score 437 Jun 23, 2011 Thread starter #8 Senetor said: Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan? Click to expand... sidhani kama ni kosa sana mpaka wahusika wachukuliwe hatuwa. We utakuwa law enforcer maana haya maneno yako.
Senetor said: Halafu ukiisha jua kuwa ni kwel au co kweli,utachukua ha2a gan? Click to expand... sidhani kama ni kosa sana mpaka wahusika wachukuliwe hatuwa. We utakuwa law enforcer maana haya maneno yako.
chavka JF-Expert Member Joined Jun 21, 2011 Posts 223 Reaction score 46 Jun 23, 2011 #10 Hahahaha wachekesha kweli hutegemea na mazoea ya wanandoa ila ukitaka uhakika ingia ktk uwanja huu wa ndoa
Hahahaha wachekesha kweli hutegemea na mazoea ya wanandoa ila ukitaka uhakika ingia ktk uwanja huu wa ndoa