Kwa nini mtu anakuwa na mtu anae cheat na kumdhalilishaNimejaribu kukuelewa nimeshindwa,tumia lugha iliyonyooka tukuelewe vizuri!
Huo ni uzwazwa a.k.a utahira kiwango cha SGR, mtu anayekudhalilisha ni moja kwa moja hakupendi sasa kwanini umvumilie!!Kwa nini mtu anakuwa na mtu anae cheat na kumdhalilisha
Trauma bondKwa nini mtu anakuwa na mtu anae cheat na kumdhalilisha
Mbona Obama na mkewe wanapenda htr na wote Ni htrNature decide for us,mwanaume husband material huangukia kwa mwanamke shangingi na mwanamke wife material huangukiwa kwa player na wote hao hawawezi kuachana hata siku moja.
Ikitokea wote ni wife and husband material nature select mmoja atakufa mapema ili mmoja ateseke tu[emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha kwenye earth planet tumechezwa ni mateso tu kwenda mbele...let us hope our generation will escape the planet earth and live somewhere with no this curse
Obama ni player mbayaaMbona Obama na mkewe wanapenda htr na wote Ni htr