Swali kwa Walimu wote nchini

Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.

we ndio hauna sifa ya kuajiriwa serikalin
 
chumvi...


Ila hawa watu waangalie kauli zao maana zinaumiza wengi na baada ya siku wanaanza kumtafuta mchawi kama yule aliyesema SITAKI KURA ZA WATUMISHI.
 
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.

Nawe wazazi wako hawana sifa ya kuitwa wazazi kama wamekulea mtoto usie na adabu hivi!!!?
 
Nawe wazazi wako hawana sifa ya kuitwa wazazi kama wamekulea mtoto usie na adabu hivi!!!?



Ni ujinga kumtikana mtu ambaye humuoni na wala humfahamu.
Ni mojawapo ya kukosa sifa ya kuwa humu JF.

Kama hujui kuwa walimu wengi hawana sifa halafu wewe ndio unajiona mjanja kwa kutukana basi tena nchi imekwisha.
 
we ndio hauna sifa ya kuajiriwa serikalin



Mimi sijakuambia wewe kuwa huna sifa .
Nimesema walimu wengi hawana sifa.

Na kama ni uongo ngoja siku mafisadi wa elimu watakapo anza kushughuilikiwa ndipo utakapoona wasio na sifa wakikimbia kwa sababu ya kughushi vyeti.

Wewe unaona walimu walioajiriwa kipindi cha waziri Mungai walikua na sifa au unaamua tu kujitoa ufahamu ili tujue kwamba na wewe ni mwalimu?
Au ulikua hujazaliwa?

Sasa kama hujui tatizo utalitatuaje?
 

Huna adabu kabisa.... Mshenzi na mpumbavu wa kwanza



Adabu yako ndiyo inayosababisha utumike vibaya wakati wa uchaguzi na unachagua viongozi wasio na adabu .Wakishaingia madarakani wanabeba mapesa kwenye viroba.

Ungekua mshenzi na huna adabu kama mimi hayo yasingetokea mana wasingethubutu kukudhulumu.
Kama ungewafanyia ushenzi hawangerudia kila mwaka kupuuza maslahi ya walimu.
 

naona Unataka kukimbia Wa Machinga co
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…