1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,802
- 10,304
Shenzi kabisa ww
Shenzi kabisa ww
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
heri wewe uliyezaliwa ukiwa tayari unajitambua. Unastahili kuitwa mpu.mba.vu kwa kumdharau mwalimu aliyekufundisha hata kutoa kamasi kazi iliyomshinda mama yako! Wangekuwa hawajitambui ungeweza kushika keyboard na kuchapa utumbo wako huu? Hujafundwa kwenu ndo maana huna maana. Ukome kuwadhalilisha walimu waliowafundisha hata hao wezi wa escrow na wakamudu kukuibia hata wewe.
pesa ya kununulia vocha
Walimu wengi hawana sifa ndio maana wanatishiwa nyau na kujiona kama vile watu waliopewa ajira kama favour tu. Ni walimu wachache sana wanaojitambua.
Duuuh.. nisaidieni kwanza hili.
Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi kutoka wilaya ya Lindi vijijini kama wewe ni mwalimu unataka kubadili kituo mimi nipo Lindi vijijini na anayetaka kuja huku naomba kubadilishana nae ila iwe ni kutoka wilaya ya Muheza, Mkinga, Korogwe, Tanga, Kibaha, chalinze, kisarawe, Handeni na morogoro. mawasiliano yangu 0717473180, 0788882280
Umesema kweli kabisa mkuu,kwa idadi walionao walimu wakiamua kudai haki yao ki ukweli watasikilizwa.
Huko ndiko kwenye fursa Mwl pambana kurudi nyumbani siyo deal miaka hii
matusi na dharau ya ccm kwa walimu hayoIkiwa tsh milioni 10 ni hela ya MBOGA kwa TIBAIJUKA.
Je, mshahara wa mwalimu kwa mwezi, Tibaijuka angeweza kununua nini?
Tiririka mwalimu ili uone kama upo sehemu sahihi.
Huko sio nyumbani naenda kwa mwenza kulea familia.
Mnachoweza kufanya ni kugoma kama huyu hapa
Mkuu walimu hawalalamiki tunaangalia namna watu waliopewa majukumu ya kuwatumikia wananchi wanavyotoa kauli zenye utata
Huku yeye ndo kwao na hataki kurudi kwao mimi kwetu TaboraMsogeze huko huko mtafute maisha Mkuu
Subiri watakuja wasomeshaji wakusomeshe