Issa hayola
Member
- Feb 7, 2014
- 21
- 2
Hivi inakuwaje mpaka mwanaume au mwanamke anaamua kuisaliti ndoa yake? Je ni tamaa za pesa au ngono au hata kuichoka ndoa? Nahitaji majibu yenye kuelimisha guys
Wewe hujawahi? Hebu tupe uzoefu wako kwanza,,,
Bahati nzuri bado sijaoa
,,,,Ngoma usocheza huwezi jua mapigo yake,subiri wakati wako ufike.Bahati nzuri bado sijaoa
Niliwahi kujiuliza swali kama lako wakati sijaoa miaka hio, nimepata majibu na nadhani yamenitosha! Usiombe kabisa, Mshukuru MUNGU tu wala usijekujisifu.
Kama sio tabia binafsi basi kuna lililom'boa ndani ya ndoa mpaka anatoka
yote hayo inaweza kuwa sababu na mengineyo mengi.
Hivi bado upo single?
subiri ufike ndio utajiuliza wazazi wetu walitueleaje hadi leo???Kumbe kwenye ndoa nako kuna visa kama huku kwa akina boyfriend and girlfriend?
Kumbe kwenye ndoa nako kuna visa kama huku kwa akina boyfriend and girlfriend?