Hapa tume na akina kikwete kuna mchezo wanataka kuucheza, inabidi ukawa wawe makini, na pia ukawa sijasikia wakifanyia kazi suala la vijana wengi kutoona majina yao kwenye daftari la wapiga kura wakati wa kuhakiki.
Pia ukawa inabidi kupigana na mapingamizi, maana ccm waliyatumia sana uchaguzi wa serekali za mitaa, wakapata karibia asilimia 40 za viti vyamapingamizi.