Mkuu haya maswali magumu kweli kweli..............na ndiyo yameficha kila kitu!!MODs kwa hisani yako naomba muiache hii thread ijitegemee walau kwa muda.
Baada ya Mh.Ngeleja kuwasilisha budget ya Wizara ya nishati na madini, Mwenyekiti wa kamati husika naye alitoa maoni ya kamati yake na kimsingi alitoa mtizamo tofauti kabisa na budget ya Mh Ngeleja. Na kama tujuavyo budget za wizara hupitiwa na kamati husika kwa marekebisho/maboresho kabla ya kusomwa bungeni Maadam Mh John Mnyika ni mjumbe wa kamati hii ningeomba atusaidia kwenye maswali yatuatayo:
1. Kamati ya Bunge ilipitia Budget ya Wizara ya Nishati na Madini?
2. Kamati kwa ujumla wake iliridhia budget hiyo? kama hapana kwa nini?
3. Kama kuna ushauri/mapendekezo, wizara ilirekebisha kabla ya kusoma bungeni?
4. Mapendekezo aliyosoma mwenyekiti wa kamati ndiyo hayo yaliyokubaliwa na wanakamati wote?
5. Wanakamati walipewa fedha na mtu au watu au kampuni au taasisi yoyote kwa maelezo ya 'kusaidia kupitisha' budget ya wizara ya nishati?
Very important Mheshimiwa kupata majibu ya hayo maswali.
hawezi kujibu....
Sijui afya walipitaje kwakweli
huyo nae yumo, wasitake kutuletea uongo hapa, aje aeleze ajibu hayo maswali cdm nao wanafiki sana
kamati ina wajumbe kama 30 hivi mmemuona mnyika pekee? Wengine walio salia hamuwaoni? Acheni unge.mse nge hapa.
Mnyika muulizeni kuhusu maoni yakambi ya upin zani hayo ya kamati ya nishati na madini muulizeni makamba. Yeye kwa cheo chake anaingiaga kuwasilisha maoni ya upinzani ndani ya kamati husika maswala ya kupitisha yanahusu wanakamati wenyewe
MODs kwa hisani yako naomba muiache hii thread ijitegemee walau kwa muda.
Baada ya Mh.Ngeleja kuwasilisha budget ya Wizara ya nishati na madini, Mwenyekiti wa kamati husika naye alitoa maoni ya kamati yake na kimsingi alitoa mtizamo tofauti kabisa na budget ya Mh Ngeleja. Na kama tujuavyo budget za wizara hupitiwa na kamati husika kwa marekebisho/maboresho kabla ya kusomwa bungeni Maadam Mh John Mnyika ni mjumbe wa kamati hii ningeomba atusaidia kwenye maswali yatuatayo:
1. Kamati ya Bunge ilipitia Budget ya Wizara ya Nishati na Madini?
2. Kamati kwa ujumla wake iliridhia budget hiyo? kama hapana kwa nini?
3. Kama kuna ushauri/mapendekezo, wizara ilirekebisha kabla ya kusoma bungeni?
4. Mapendekezo aliyosoma mwenyekiti wa kamati ndiyo hayo yaliyokubaliwa na wanakamati wote?
5. Wanakamati walipewa fedha na mtu au watu au kampuni au taasisi yoyote kwa maelezo ya 'kusaidia kupitisha' budget ya wizara ya nishati?
Very important Mheshimiwa kupata majibu ya hayo maswali.
Hayo maswali si magumu unless mmeamua kuyafanya yawe magumu na kuruhusu akili zenu kutofikiri. CCM twaijua fika, matendo yao na uking'ang'anizi wao sio jambo geni masikion au machoni mwetu. HATA KAMA WALISHAURI NAUHAKIKA WALIPUUZWA.. thats why walikuja na mkakati mbadala wa kuhakikisha mambo yao yanasonga mbele!Mkuu haya maswali magumu kweli kweli..............na ndiyo yameficha kila kitu!!Mh. Mnyika COME CLEAN hapa!! tupe za ndani au you are included!!
Kweli mkubwa!kwenye red ndio swali, Hayo mengine kamuulize J. Makamba m/kiti kamati ama ngeleja pamoja na Jairo watakujuza vizuri
Hayo maswali si magumu unless mmeamua kuyafanya yawe magumu na kuruhusu akili zenu kutofikiri. CCM twaijua fika, matendo yao na uking'ang'anizi wao sio jambo geni masikion au machoni mwetu. HATA KAMA WALISHAURI NAUHAKIKA WALIPUUZWA.. thats why walikuja na mkakati mbadala wa kuhakikisha mambo yao yanasonga mbele!
... Mleta mada unauliza ili tupate megawati 300 au? otherwise just think twice.
huyo nae yumo, wasitake kutuletea uongo hapa, aje aeleze ajibu hayo maswali cdm nao wanafiki sana