Nimekuzimikia ghafla BabyGalNeither one of them!
pia kuna kundi la tatu, hawa ni wanaume wenye gubu, wenye wivu, choyo, masimango na roho mbaya.Akiota usiku kuwa una bwana ofisini kwako kesho anakuja kazini kwako na kuanza kukuminia matusi mbele ya staff wenzako.Habari zenu !Natumaini wote mnapenda wapenzi wenu wawe na sifa zote mnazozihitaji,Swali langu ni kuhusu sifa mbili kati ya nyingi za mwanamme.Kuna wanaume wawili, mmoja ni mwaminifu,hawezi kutembea nje lakini hajali sana,hana lugha tamu ya kubembeleza,na pia hawezi kujizuia hasira pale unapomkwaza.wa pili ni yule ambaye anajali sana,maneno matamu, mstaarabu mwenye kukufanya ucheke na ujisikie unafurahi unapokuwa naye, lakini wakati mwinigine hajatulia, anaweza kutoka nje na wanawake wengine.Kati ya hao wawili, ni yupi rahisi kumvumilia na kudumunaye katika mahusiano ?Asanteni !!
Wow!Asante sana WN!!Nikupepee?!Nimekuzimikia ghafla BabyGal
Wow!Asante sana WN!!Nikupepee?!
DADDYYYYYYY!Stop following me around..its embarrassing!!I'm watching you like a hawk in the sky. Like you are my prey.
acha hizo huyu kajiunga leo hata ukaribisho bado utamzimiaje? umemfahamu lini? acha papara... well kwenye mada hizo tabia zao zinavumilika kama ukimrekebisha kwa upole na busaraNimekuzimikia ghafla BabyGal
Neither one of them!
Wivu mpaka kwenye kiibodi?!Hatari hii sasa!acha hizo huyu kajiunga leo hata ukaribisho bado utamzimiaje? umemfahamu lini? acha papara... well kwenye mada hizo tabia zao zinavumilika kama ukimrekebisha kwa upole na busara
Hahahaha!Kama ni kweli basi aendelee tu maana uzuri wote upo hapo!Do you know why he keeps following you around? Your avatar says it all! Inamvutia!he is imagining you through your avatar!
Sijaona bado.Habari zenu !Natumaini wote mnapenda wapenzi wenu wawe na sifa zote mnazozihitaji,Swali langu ni kuhusu sifa mbili kati ya nyingi za mwanamme.Kuna wanaume wawili, mmoja ni mwaminifu,hawezi kutembea nje lakini hajali sana,hana lugha tamu ya kubembeleza,na pia hawezi kujizuia hasira pale unapomkwaza.wa pili ni yule ambaye anajali sana,maneno matamu, mstaarabu mwenye kukufanya ucheke na ujisikie unafurahi unapokuwa naye, lakini wakati mwinigine hajatulia, anaweza kutoka nje na wanawake wengine.Kati ya hao wawili, ni yupi rahisi kumvumilia na kudumunaye katika mahusiano ?Asanteni !!
aina hii ndo funga kazi!pia kuna kundi la tatu, hawa ni wanaume wenye gubu, wenye wivu, choyo, masimango na roho mbaya.Akiota usiku kuwa una bwana ofisini kwako kesho anakuja kazini kwako na kuanza kukuminia matusi mbele ya staff wenzako.