swali kwa ladies

Sasa mtu anawezaje kukupa attention na space at the same time...naweza vipi kukupa attention wakati nikikupa space sitakuwa na wigo mzuri wa kukuonesha my attention to you
Hapo ndio lazima akili ziwakae sawa maana ni kweli huwa tunataka vyote.
 
Vyote tena kwa pamoja bila kimoja kupungua wala kuzidi kingine.
 
Sasa mtu anawezaje kukupa attention na space at the same time...naweza vipi kukupa attention wakati nikikupa space sitakuwa na wigo mzuri wa kukuonesha my attention to you
You: baby you seem not to be okay today (attention)
Chukua laki moja hapo kwenye wallet ukashangae hata mjini ma (space)

Me: huku natabasamu naelekea kwa wallet kisha naupara natoka

espy ongeza attention na space wapenzi watuelewe
 
Hahahaaa!! Yaani kama mpaka hapo hawajaelewa basi tena.
 
You: baby you seem not to be okay today (attention)
Chukua laki moja hapo kwenye wallet ukashangae hata mjini ma (space)

Me: huku natabasamu naelekea kwa wallet kisha naupara natoka

espy ongeza attention na space wapenzi watuelewe
Hahaaaah sa c ungesema huwa mnataka space na helaaaa
 
Hapo ndio lazima akili ziwakae sawa maana ni kweli huwa tunataka vyote.
Hahaaah akili inikae sawa kivipi wakati vitoto vibichi vinazaliwa kila dakika...nakupa permanent space afu nahamia kwa vitoto vibichiiiiiii
 
@evelyn salt kumbe tunahangaika kumjibu mtoto.
 
Boss hiyo hela umeongezea ambapo nami naongeza tunataka na ruhusa za kutoka home, mwisho tunajikuta tunakompliketisha mambo.....ibaki tu tunahitaji attention and space
Sawa madam mekupata though mfano wako is clear but ni ngumu ku offer vyote viwili at the same time...but coz kwenye mfano kuna neno helaaaa...umeeleweka vzr
 
Many of them needs attention,
and attention end up with a good sex.

Sent from Jamii Forums using siemens kidole juu.
 
You: baby you seem not to be okay today (attention)
Chukua laki moja hapo kwenye wallet ukashangae hata mjini ma (space)

Me: huku natabasamu naelekea kwa wallet kisha naupara natoka

espy ongeza attention na space wapenzi watuelewe
Sometimes Evelyn Salt unajibu maswali kiupeo sana hadi natamani kuku-pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…