VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Umeishia la darasa la ngapi maana sidhan kama hata secondary ulisoma kama una jibu nje ya mada namna hii??????Mafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Nilichosema ni kweli au si kweli ??Umeishia la darasa la ngapi maana sidhan kama hata secondary ulisoma kama una jibu nje ya mada namna hii??????
Kwa wewe hujui kuwa mzee mwanakijiji amepoteza dira?Nimeamini maneno ya Mzee Mwanakijiji...." mafisadi wako radhi [kuchagua] UKAWA ya Lowassa kuliko CCM ya Magufuli!
Hoja inahusu hayo uliyo uliza wewe?? Kama unataka hayo anzisha mada mpya na wenyewe watakupa majibu usiharibu uzi wa mwenzio kwa kuingiza mada zingine.Nilichosema ni kweli au si kweli ??
Pelekeni mahesabu yenu yakakaguliwe
Unadhani mwenzako "mfia chama" kama wewe msukule unaofugwa hapa Tengeru?Kwa wewe hujui kuwa mzee mwanakijiji amepoteza dira?
Ndoto za kuotea barabarani ni mbaya sana kama kusoma hujui hata picture huoni? Jiongeze mwana lumumbaMafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Amesoma darasa moja na mleta madaUmeishia la darasa la ngapi maana sidhan kama hata secondary ulisoma kama una jibu nje ya mada namna hii??????
Wewe uko wapi usiyeona sintofahamu niliyoiripoti?Mzee Tupa Tupa ulikuwa kila siku humu ukituaminisha kuwa wajumbe wamejipanga kuleta sintofahamu Dodoma kumbe hukuwa na taarifa sahihi. Tusaidie kumhoji Mbowe wenu kwa nini amegeuka kuwa mfalme wa Chadema? Na pia jina Lowasa kuwa mgombea uraisi 2015 lilipatikana vipi?
Mafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
sijakelewa.umechangia mada au umeanzisha uzi mwingine?Mafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Mkutano mkuu wa ccm au chadema.?Mafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.
Acha kuharibu threads, kila mahali unachomekea huu uharoMafisadi chadema mpaka Leo hawajapeleka gharama walizotumia kwenye uchaguzi mkuu 2015.