Swali kwa JF na mods

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,901
Reaction score
4,901
Je mfano UTV,ITV,WASAFI TV,NK ni member wa jf na siku moja wakaposti taarifa moja humu kwenye jukwaa lenu je mtaunganisha uzi?
 
Inabidi MELO apewe taarifa kua vijana wake wanaharibu nyuzi za watu kwa kuziunganisha bila ruhusa zao na kuwatesa wachangiaji
 
Wametuharibia mtiririko wa kesi inayoendelea, sasa hivi tumehamia WhatsApp, wakati humu ilikuwa imekaa poa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…