Karibu social networks/forum nyingi Nina oprion option ya kufuta thread au hata account yangu. Kwann JF haina hiyo option, je imeachwa makusudi?
Binafsi sioni maana ya kucontact uongozi ili kufuta uzi, natakiwa kuwacontact kwa ishu technical nk. Sasa ww Mod na wengineo mnalitolea ufafanuzi gani hili?
Asanteni.