Swali kwa fans wa Man U & wapenda soka EPL

JamaaFlani

Member
Apr 30, 2013
36
26
Ikiwa Manchester United wanataka kumbadili Kocha Ole Gunnar Solskjær, unadhani nafasi hiyo itamfaa zaidi Kocha yupi kwa kuipa ubora Man U?
 
Ili united irudi kwenye ubora wake basi siyo kubadilisha kocha tu bali ata boti ya wakulugenz wajiuzuli waje wengine itafanya vizur
 
Back
Top Bottom