A
Anonymous
Guest
Tokea mwezi wa 10 kulipokuwa na mgawo mkali wa maji, maeneo yetu ya Msewe, Chuo Maji na maeneo ya karibu tumekuwa tukipata maji takribani mara moja tu kwa wiki.
Hata hivyo, ndani ya mwezi huu maji yametoka mara mbili tu.
Tunaomba kufahamu kutoka DAWASA kama changamoto hii inasababishwa na mvua kama ilivyowahi kuelezwa hapo awali, au kama kuna sababu nyingine inayosababisha hali hii.
Na wawe wanatoa taarifa kama maji yatakaa kipindi kirefu hivi bila kutoka maana wote tunajua umuhimu wa maji