MSEZA MKULU
JF-Expert Member
- Jul 22, 2011
- 3,763
- 5,591
Wakati watanzania tunaendelea kuchambua utendaji Wa Magufuli kwa siku mia moja.
Ametutaka na sisi tujibu swali hilo hilo kuwa na sisi tumemfanyia nini mama Tanzania kwa siku 100.
Tukiwa na utamaduni Wa kumuhoji wakati na sisi tunachakuonyesha katika muda huohuo tunaomuhukumu, tutapunguza idadi ya malalamiko hasa mitandaoni. Maana na yeye utahitaji kutufanyie evaluation kama sisi tunavyomchambua.