A airbag JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 1,377 Reaction score 1,506 Sep 18, 2016 #21 Allen Kilewella said: Uchochezi wa kuchochea fikra nadhani unaruhusiwa! Click to expand... Huo ndiyo uchochezi hatari kabisa kwa sasa inatakiwa kumsifia Mfalme Wa wafalme tu
Allen Kilewella said: Uchochezi wa kuchochea fikra nadhani unaruhusiwa! Click to expand... Huo ndiyo uchochezi hatari kabisa kwa sasa inatakiwa kumsifia Mfalme Wa wafalme tu
N Ntandaba JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 922 Reaction score 1,486 Sep 18, 2016 #22 Kwa mfano ni halali kuchangia uzi wa mtoa post aliyeghushi vyeti na kupost kwenye forum ambayo mbunifu wake labda naye alighushi vyeti?
Kwa mfano ni halali kuchangia uzi wa mtoa post aliyeghushi vyeti na kupost kwenye forum ambayo mbunifu wake labda naye alighushi vyeti?
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,838 Reaction score 50,542 Mar 28, 2017 Thread starter #23 airbag said: Huo ndiyo uchochezi hatari kabisa kwa sasa inatakiwa kumsifia Mfalme Wa wafalme tu Click to expand... Nimegundua kumbe siyo uchochezi kwani hoja ni "kuchapa kazi".
airbag said: Huo ndiyo uchochezi hatari kabisa kwa sasa inatakiwa kumsifia Mfalme Wa wafalme tu Click to expand... Nimegundua kumbe siyo uchochezi kwani hoja ni "kuchapa kazi".
NAKEMBETWA JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 3,517 Reaction score 3,139 Mar 28, 2017 #25 Sakata la vyeti limefia miguuni mwa bashiite maana kwa sasa sidhani kama kuna mtu atafungwa au kuachishwa kazi sababu ya kufoji cheti!
Sakata la vyeti limefia miguuni mwa bashiite maana kwa sasa sidhani kama kuna mtu atafungwa au kuachishwa kazi sababu ya kufoji cheti!