Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,836
- 50,524
Acha niendlee kuwaza!Kwa mfano mtu alighushi cheti akawa Askari Polisi, akamkamata mtu, huyo mtu akafunguliwa Mashitaka Mahakamani, Mahakamani akahukumiwa na Hakimu aliyeghushi cheti chake pia, akapelekwa Gerezani ambako nako kwa wakati fulani alilindwa na Askari Magereza aliyeghushi cheti. Je mtu huyu anaweza kushitaki kwa kukamatwa isivyo halali, kuhukumiwa na mtu asiye na sifa na kushikiliwa kifungoni na Askari Magereza aliyeghushi cheti?
Mzazi anampeleka mtoto wake shule ya Msingi, sekondari na mpaka chuo kikuu. Huko kote kwa wakati fulani alifundishwa na waalimu walioghushi vyeti. Huyu mtu usomi wake ni halali au ni haramu. Kitendo cha kufundishwa na waalimu walioghushi vyeti kinachukuliwa kama ni kosa?
Mama mjamzito kafika Hospitali, kapokelewa na Muuguzi aliyepata kazi hiyo kwa kughushi cheti, akaandikiwa dawa na Daktari aliyeghushi cheti na hatimaye akasaidiwa kujifungua na Mkunga ambaye naye alighushi cheti chake hata akaupata huo ukunga. Mama huyo ana haki ya kufungua mashitaka dhidi ya serikali kwa kuhatarisha maisha yake kwa kuajiri watu walioghushi vyeti?
Hata kuwa wadadisi tunakatazwa?Wewe bwana wewe
moto2012
Utaitwa mchochezi.....ila kwa mtazamo wangu ni kuwa Mr. Uchwara anavisasi na watu hasa ktk pita pita yake huko shuleni, labda alikuwa harassed at some point na mtu mwenye cheti feki. Labda ...labda alitoswa na Demu mwenye cheti feki....anamuwinda amuoneshe yeye ni TIC ( Top in Country)Hata kuwa wadadisi tunakatazwa?
Kina mama huko vijijini kila siku wanajifungulia majumbani na hakuna shida. Kujifunga ni tendo ya kibaiolojia na wala halijali anayekusadia kujifungua ni Mkunga ama si mkunga au ni mkunga feki!!Huyo mama mjamzito nae atakuwa feki,amejifunguaje sasa kama mkunga feki!
Leo umekuja na vitu vigumu sana lakinj kwakuwa mimi ndie bongo experience ngoja nijipange nije na majibu sahihiKwa mfano mtu alighushi cheti akawa Askari Polisi, akamkamata mtu, huyo mtu akafunguliwa Mashitaka Mahakamani, Mahakamani akahukumiwa na Hakimu aliyeghushi cheti chake pia, akapelekwa Gerezani ambako nako kwa wakati fulani alilindwa na Askari Magereza aliyeghushi cheti. Je mtu huyu anaweza kushitaki kwa kukamatwa isivyo halali, kuhukumiwa na mtu asiye na sifa na kushikiliwa kifungoni na Askari Magereza aliyeghushi cheti?
Mzazi anampeleka mtoto wake shule ya Msingi, sekondari na mpaka chuo kikuu. Huko kote kwa wakati fulani alifundishwa na waalimu walioghushi vyeti. Huyu mtu usomi wake ni halali au ni haramu. Kitendo cha kufundishwa na waalimu walioghushi vyeti kinachukuliwa kama ni kosa?
Mama mjamzito kafika Hospitali, kapokelewa na Muuguzi aliyepata kazi hiyo kwa kughushi cheti, akaandikiwa dawa na Daktari aliyeghushi cheti na hatimaye akasaidiwa kujifungua na Mkunga ambaye naye alighushi cheti chake hata akaupata huo ukunga. Mama huyo ana haki ya kufungua mashitaka dhidi ya serikali kwa kuhatarisha maisha yake kwa kuajiri watu walioghushi vyeti?
Hili suala linahusiana na kwamba kuna watu hapa wataadhibiwa, lazima tujue nafasi ya waliohudumiwa na waghushi vyeti ikoje!Leo umekuja na vitu vigumu sana lakinj kwakuwa mimi ndie bongo experience ngoja nijipange nije na majibu sahihi
UchocheziHata kuwa wadadisi tunakatazwa?
Uchochezi wa kuchochea fikra nadhani unaruhusiwa!Uchochezi
Hii n hadisi au maana ni ya kufikirika sana kuna sehemu nyingine ukigushi lazima utagundulika kaa udaktari na fani nyingine za kutumia akiliKwa mfano mtu alighushi cheti akawa Askari Polisi, akamkamata mtu, huyo mtu akafunguliwa Mashitaka Mahakamani, Mahakamani akahukumiwa na Hakimu aliyeghushi cheti chake pia, akapelekwa Gerezani ambako nako kwa wakati fulani alilindwa na Askari Magereza aliyeghushi cheti. Je mtu huyu anaweza kushitaki kwa kukamatwa isivyo halali, kuhukumiwa na mtu asiye na sifa na kushikiliwa kifungoni na Askari Magereza aliyeghushi cheti?