shambaraha
Senior Member
- Dec 24, 2014
- 109
- 17
kwataarifa tu nikua chadema wanataka lazima mgombea urais atoke kwao na c vinginevyomcubic
Mtajitahidi sana kuleta propaganda zenu lkn hamtaweza kujua siri iliyoko kwenye ukawa.Ukawa wakipewa ridhaa watafuta katiba iliyopo na kuunda ya Warioba waliyoikataa CCM.
Last edited by a moderator: