Awakener The Lone Wolf
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 259
- 233
Asante mkuu nawasubiriWanakuja mkuu usihofu
Maisha popote ndugu yangu kwani vibaya kuhama?Tuanze kwanza kwanini unataka kutoka zanzibar?
Nahitaji maelezo zaidi kama huku inabidi niache au naandika barua ya kuomba uhamishoInawezekana Chap Ongea Na Waziri Wa Muungano
Halafu Njoo Tamisemi Dodoma Kwa Bashungwa
unataka Kuhamia Wapi Huku Bara, Kigoma Vp
Ningependa kwenda MoshiNahitaji maelezo zaidi kama huku inabidi niache au naandika barua ya kuomba uhamisho
π€π€π€π€π€π€π€?Ningependa kwenda Moshi
Elimu ya msingi na elimu ya sekondari si swala la muunganoHabari wana jf
Mimi ni mwalimu katika skuli ya msingi hapa Zanzibar.Nahitaji kuhamia Tanzania Bara kwa mwenye uzoefu naomba anisaidie mawazo.
Nitashukuru sana[emoji120]
Unaomba UhamishoNahitaji maelezo zaidi kama huku inabidi niache au naandika barua ya kuomba uhamisho
Wewe bhana baki tu kwenye skuli za huko huko. Huku Tanganyika kwa sasa hatuna kabisa uhaba wa walimu.Ningependa kwenda Moshi