Swali Kuhusu mkopo wa heslb

Swali Kuhusu mkopo wa heslb

kuntio

Member
Joined
Jul 1, 2013
Posts
13
Reaction score
1
Naomba kujua Kama Yatima wanaopata mkopo wa heslb,Nao pia wanakuja kurudisha mkopo wakimaliza chuo au kukatwa kwenye mshahara wakishaajiliwa..?
 
umeshasema ni mkopo lazma urudishe.yatima ni kigezo cha kukusaidia kupata mkopo ili usome si umemaliza na umepata kazi bado waendelee kukumbatia eti ni yatima.CHAGUA LOWASSA huta daiwa mkopo lakn CHAGUA MAGUFULI sura nyeus kweli utarudsha na riba juu hadi senti ya mwisho.
 
Mie nimesoma private lakin nwaka jana baba aliachishwa alipo kua anafanya kazi ni Congo na barua alizo achishwa nazo zpo kwa lugha ya kifaransa,ndo izo pia nliziweka kwenye maombi yangu, sasa sijui niwe na matumain ya kupata au la. naomben ushauri
 
Mkopo utarejesha tu. Kurejesha hakuna uyatima. Tena hata kwenye mkopo hata YATIMA nao wanakosa mikopo pia.
 
Back
Top Bottom