Yusomwasha
JF-Expert Member
- Dec 5, 2014
- 2,092
- 844
Habar wana jf
eti ni kweli kuwa mtu yoyote anayepitia jkt ni lazima apimwe ukimwi?na jee akikutwa nao inakuaje?
Habar wana jf
eti ni kweli kuwa mtu yoyote anayepitia jkt ni lazima apimwe ukimwi?na jee akikutwa nao inakuaje?
Wanahitajika watu healthy maan kule kuna harsh condition, tena kile kipind cha HELL weeks ni hatar sana
Hio Hell weeks ina mazoezi au changamoto za aina gani mkuu...??
Embu dadavua tuelewe maanaa hata mimi nna mpango wa kuenda huko.....
Hizo ni weeks za kukupush to the limit, kimwili na kisaikolojia pia.
Kaz kazi, Mazoezi magumu, usingizi kidgo sana, huko ni kuvurugwa hasaaa, maovyo ovyo yote yapo hasa kipindi hiko.
Sawa najua kuna mateso na nn.. Changamoto mbalimbali....sasa mfano???
Hao maafande nao wanapimwa? Isije ikawa wanaachwa tu.
Ambao hawana ukimwi wanakufa kutokana na mazoezi sembuse mgonjwa we nenda uone
m