habari zenu wakuu,
mimi ninakitu kimekuwa kikiniumiza kichwa kidogo. naelewa kuwa ukimtumia mtu flash sms anapata msg na asipo click save basi haitaingia kwenye inbox yake kabisa. Sasa basi kinachoniumiza kichwa ni kutaka kujua kama kuna software ambayo inaweza kufanya hivi kwenye email. Pia ningependa kujua kama kuna njia ya kufanya hii kitu in both ways yani nikiamua nitume msg alafu isiingie kwenye sent item list na wala delivery report isionekane.. hili swala linawezekana au??..
kama linawezekana basi naombeni mnielimishe kuhusu hili...
Unless kama u-cancel delivery report na pia deactivate saving saved messages, depending on your phone.
Ila kwa moja moja, labda udefine hizo settings na utengeneze profile yake ili ukitaka kutuma hiyo sms, then uchague profile husika