Brown Nyanja
New Member
- Feb 16, 2025
- 3
- 2
emb nielekeze kuhusu diploma ya radiology na mkopo wake,,mana sielew chchtSi bora iombe diploma yake unachukuliwa tena na mkopo juu halafu baadae utajiendeleza
Ajira yake ni haraka kama nikisomea diploma au degree?ipi ajira ni ya haraka ???Hiyo kozi kwa level ya diploma inaitwa diploma in diagnostic radiography kwa mwaka jana serikali iliongeza kiwango cha mkopo kutoka degree mpaka diploma ila kuna baadhi ya kozi zilipewa kipaumbele kupata mkopo,hii ya DDR nayo ikiwemo, vyuo vinavyotoa ni kama Bugando,muhas,kolandoto, City college mwanza,na vingine vingi.
Kwa diploma ni muhas, Benjamin Mkapa na Bugando tu vyuo vilivyobaki ni certificate japo wataongeza diploma hapo baadayeHiyo kozi kwa level ya diploma inaitwa diploma in diagnostic radiography kwa mwaka jana serikali iliongeza kiwango cha mkopo kutoka degree mpaka diploma ila kuna baadhi ya kozi zilipewa kipaumbele kupata mkopo,hii ya DDR nayo ikiwemo, vyuo vinavyotoa ni kama Bugando,muhas,kolandoto, City college mwanza,na vingine vingi.
PCB unapata nenda ukapambane kwelikweli. Ukianzia diploma ni ngumu kusoma degree yake hapa tz maana vyuo ni viwili tu intake isiyozidi wanafunzi 25 kwa mwaka na competition ni kubwa. Na ukitokea advance hakikisha unafaulu kweli kweli. The decision is up to you.Jaman,mimi nimemaliza kidato cha nne mwaka 2024,naomba kuuliz je ukiwa na matokeo haya nisomee comb gani ili nipagie coz y radiology chuo
Math B
Bios B
Chem C
Phy D
Geog c
sielew ,nahitaji kusoma PCB lkn sijui kama nitakubaliwa,,,naomben maoni yenu
Ukasome kwanza, ajira baadae. Ajira ya haraka kufungua Hospitali yakiAjira yake ni haraka kama nikisomea diploma au degree?ipi ajira ni ya haraka ???
Kwa ufaulu huo, PCB ni kupoteza muda. Physics utapata F, Chemistry D na Biology F. Nenda Diploma.PCB unapata nenda ukapambane kwelikweli. Ukianzia diploma ni ngumu kusoma degree yake hapa tz maana vyuo ni viwili tu intake isiyozidi wanafunzi 25 kwa mwaka na competition ni kubwa. Na ukitokea advance hakikisha unafaulu kweli kweli. The decision is up to you.