Kuwa na subira, zmebaki
wiki mbili tu, tutajua kila kitu ila akipata zero percent boom kama
kawa. Mtu anayekosa boom anawekewa dash percent (-%) hii inamaanisha
hakuna boom pia zile non priority haimaanishi hawapati kitu hasha!!
Wanatengewa fungu lao, mfano pale TIA na IFM kuna ADA ukiangalia course
zao ni non lakini wanapata mkopo.