Swali: Kuchagua course mbili chuo kimoja

mtwa mkulu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2013
Posts
8,585
Reaction score
11,260
Wakuu naombeni nisaidiwe kama upo uwezekano wa kuchagua course mbili chuo kimoja na je malipo ya gharama za application yanakuwaje?
 
Kila chuo kina utaratibu wake, na ukisoma guidelines zao wanasema kabisa either unachagua course 3-5 na gharama ni moja tu. Malipo kila chuo kina gharama zake, kwa sasa bado gharama mpya za TCU hazijaanza kutumika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzumbe iko poa lipa 10 inafanya kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
unalipa kumi elfu au? harafu ninaswali kuhusu mzumbeee.... hawa jamaa system yao ya usaili ipo moja je kama nataka kuapply center yao ya mbeya kwa mfano inakuweje...... nataka kuapply mbeya and main course mbili tofauti ndo kiini cha swali languu
 
Ingia tu kwenye application utaweza kuomba vyote apoapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom