SWALI? JE, Tanzania ihalalishe ukahaba?

Tanzania inahitaji kufuata mahitaji na usalama wa hao wafanyakazi kwenye hili swala na kuwasikiliza kisha kupitisha sheria.
 
Naona Uzi nimeuandikia kwa waongea kiswahili Lakini picha ya kingereza. Ngoja nitafsiri. Anachoongelea huyo dada ni kuhusu ukahaba na hatari inayotokana na kazi hiyo kutokuwa halali kisheria. Ufumbuzi wake ulikua kwamba serikali ihalalishe kabisa sekta hiyo na siyo kinusu nusu au kwa vikwazo na alitoa maoni kwamba serikali iwaulize wafanyakazi kwenye sekta hiyo wanataka sheria iwasaidiaje.
 
Back
Top Bottom