Swali: Je pombe ni madawa ya kulevya?

Anthony10

Member
Sep 13, 2016
91
102
Wakuu salaam sana

Ningependa kufahamu kama pombe kwa aina zake zote NI madawa YA KULEVYA au la ,maana naonaga watu wanalewa na kwanini SERIKALI haiwakamati Katika vita tuliyonayo sasa ya kuhakikisha tunavunja mtandao wa madawa YA KULEVYA Tanzania

Asante.
 
neno madawa ya kulevya sio neno sahihi
kuna Drug na Drug abuse,hapa Drug inaweza kuwa chochote sasa ukitumia vbaya inakuwa Drug abuse mfano Hata panaldo ukitumia vbaya ni Drug abuse
 
Jamani hii serikali nilikuwa najilia jani...mkakataza nikahamia kwenye viloba nako ni marufuku sasa natangaza kuanzia 01/03/2017 naanza rasmi kula wake za watu ndo kilevi kilicho baki
 
Jamani hii serikali nilikuwa najilia jani...mkakataza nikahamia kwenye viloba nako ni marufuku sasa natangaza kuanzia 01/03/2017 naanza rasmi kula wake za watu ndo kilevi kilicho baki
Hii Vita naona wamekazana na bangi tu ilhali bangi hazizalishi mateja.
Kila siku kwenye taarifa za habari utaona wanachoma mashamba ya bangi.
Mf. Singida wamekamata puli zaidi ya 7000 za marijuana na kakete kamoja ka Heroin..
Hii yote sababu dealers wengi wa bangi si watu wazito so jamaa hawaogopi kuwafikia.
 
Back
Top Bottom